Nimerudi na salamu za mwaka mpya
3 Comments so far
Leave a comment
February 15, 2007, 12:58 pm
Filed under: Hadithi Fupi
Filed under: Hadithi Fupi
Ndugu na kina dada tunaokumbana katika uwanja huu. Nimekuwa kimya kwa muda kutokana na mambo kadha wa kadha, uvivu ukiwa ni mmojawapo, uandishi katika nyanja zingine pamoja na mbio kali za kusaka mkate na maji.
Nipo hapa na ningelipenda kuitikia salamu zenu nyote na kusema kwamba ni mwanzo mpya ambapo kublogu kutakuwa ni mionogni mwa mambo ya kimsingi kama ugali na maji.
Asanteni na karibuni sana, huku nikiahidi kwamba nitatoa jasho zaidi la moyo wangu hasa ikikumbukwa ya kwamba huu ni mwaka wa uchaguzi nchin mwangu.
Tuko pamoja!
Amadi.
3 Comments so far
Leave a comment
asante kwa salam za mwaka mpya,ingawa mwaka wenyewe ushaanza kuchakaa.nangoja vitu vyako juu ya uchaguzi mkuu na masuala mengine.
Comment by zemarcopolo February 15, 2007 @ 2:50 pmNi furaha kuona kuwa umerudi. Salamu tumezipokea.
Comment by ndesanjo March 10, 2007 @ 10:54 pmlangu tu ni kuwaomba wakenya wawe jamii moja katika huu wakati wa kampeni na pia uchaguzi mkuu ambao watarajiwa kuwa na ushindani wa juu sana….na mwenye kupendwa na wengi aipuke mshidi…Tume ya kuwaunganisha wakenya
Comment by Ali Juma November 28, 2007 @ 8:33 pm